Reader Settings

Unaweza kurudi ulipoishia kupitia Maktaba.

“Hayo yote yalifanyika mzee Magamba”

“Kama yalifanyika sasa kivipi huyu mtu bado haupo naye kwenye mikono yako?”

“Ndiyo maana nimewaambia hata mimi bado nafikiria kwamba ni kwa namna gani huyu mtu amefanikiwa kuishi mpaka wakati huu”

“Hili unalo lifanya ni utoto, kama hii kazi imekushinda tuachie sisi wenyewe tuifanye”

“Magamba” aliitwa na wenzake ili atulie lakini haikuonekana kufanya kazi njia ya kuweza kumtuliza.

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next