“Yule hayupo mmoja kama watu wengi wanavyo jua, bali wale wapo wawili tena walizaliwa wakiwa ni mapacha kabisa ila hii ni siri ambayo ipo kwenye vifua vya watu wachache sana. Hizi ni siri ambazo watu wengi wanahisi kwamba mimi sizijui kabisa kwenye maisha yao ila wanashindwa kuelewa kwamba ni kwanini Shadrack aliniamini sana mimi mpaka akanipa hii nafasi niliyo nayo leo”
“Mimi najua mambo mengi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments