Asharose baada ya kuzimia mle ndani ya wodi, ilibidi waitwe madaktari haraka sana maana hali yake ilibadilika na kuwa mbaya ghafla. Presha yake ilikuwa inapanda na kushuka kwa wakati mmoja hivyo kupelekea maisha yake kuwa hatarini mno, madaktari waliingia na kumchukua yeye na mama yake ambaye hakuwa tayari kumuacha mwanae ikiwa tayari ni siku ya kwanza tu tangu amtie kwenye mikono yake hivyo alidai kwamba …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments