Wanaume hao wawili walirudi mpaka yalipo makao yao makuu, usingeweza kuamini kwamba makazi ya wauaji hao watano ambao walikuwa wanaunda kundi la TOXIC walikuwa wanaishi katikati kabisa ya jiji ndani ya mgahawa mkubwa wa kifahari wa FUTURE ORIENTED RESTURANT. Jason na Junior walishuka na kuiacha hiyo gari nje ambayo ilikuja kuchukuliwa na mtu kisha ikatolewa hapo, hao walikuwa maafisa usalama ambao walikuwa wanahakikisha ulinzi wa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments