Nayrah na familia yake walikuwa na maisha safi sana tofauti na zamani, familia yao ilibadilika ghafla sana na kuwa ya kitajiri hata ule ugumu wa maisha wa pale Mbagala waliusahau. Kitu ambacho kiliishangaza familia nzima ni hali ya baba mwenye familia hiyo, mzee Hashim.
Mzee huyo tangu siku ile amsikie ndugu yake akiwa anamuomba msamaha kwenye vyombo vya habari alikuwa ana hasira sana na mtu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments