Asubuhi na mapema taarifa za vifo vya watu wakubwa ndani ya serikali zilikuwa zinawatishia watu wengi sana, kuna watu walikosa amani kabisa kwa kudai kwamba ndani ya nchi yao kumekuwa na vita vya wao kwa wao. Kwa wale wenye roho nyepesi walianza kufunga biashara zao na kuhama ndani ya jiji la Dar es salaam huku wengine wakianza kabisa kuikimbia nchi yao kwa kwenda nje maana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments