Siku ilikuwa imeisha vibaya sana kwa watanzania kwa sababu nchi yao ilikuwa kwenye machafuko makubwa sana lakini muda haugandi kabisa, hatimaye siku ilifanikiwa kuisha salama watu wakaingia kuuhangaikia usiku wa kuitafuta siku nyingine ya pili ili waendelee kuteseka na yale mauza uza yao ambayo yalikuwa yanaendelea kila siku.
Majira ya usiku wa saa nane, Asp Bakari Zalimo alikuwa ndani ya V8 ikiwa inaenda taratibu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments