Sasa baada ya X kumaliza maelezo yake sasa aliyekuwa anasubiriwa kutoa maelezo ya nini kilichokuwa kinafuatia alikuwa ni Jason, mwanaume huyo alisimama na kupita mbele ambapo X yeye alirudi kukaa akiwa siriasi sana kwa sababu hakuwa na kingine chochote ambacho alikuwa anakisubiria hapo.
“Tulichokuwa tunakisubiri kwa hamu sana nafikiri kwa sasa kimefika na tumekisikia hivyo kuanzia hivi ninavyo ongea tuna masaa arobaini na manane tu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments