Reader Settings

Jabir alikuja kwa kasi ya ajabu ambayo ilikuwa ni ngumu hata kwa Jason mwenyewe kuendena nayo, namna alivyo jigeuza akiwa amekiweka kisu chake mdomoni hata Jason alishtuka mno, kisu kilimkosa lakini alichotwa na mtama chini kwa nguvu mno akiwa anajiandaa kutua vizuri alipigwa na double kick nzito kwenye kifua chake alihisi kama moto unawaka. Alipelekwa mbali sana sehemu ambayo huenda ingeweza kumletea madhara maana sehemu …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next