Mida ya jioni ilikuwa imefika tayari na watu hao hawakuwa na cha kubakisha tena zaidi ya kwenda huko ambako walitakiwa kwenda kuifanya kazi hiyo. Watu ambao walipaswa kwenda huko walikuwa ni watu sita tu pekee. Wale wauaji watano pamoja na Alphonce ambaye alikuwa anaenda huko kwa ajili ya kuwapa ulinzi maana yeye alikuwa ni mdunguaji hatari isivyokuwa kawaida.
Watu ambao walitakiwa kutangulia huko walikuwa ni …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments