MIMI NA MIMI 4
A Story by Elton Tonny
Familia, Urafiki, Mapenzi, Kazi, Siri, Tamaa, Hila, Usaliti, Ukatili, Mauaji, Mambo Yasiyotazamiwa
R-rated 18+
Enjoy!
★★★★★★★★★★★
SEHEMU YA SITA
★★★★★★★★★★★
Pozi lote likaniisha. Valentiana alibaki kunitazama kwa kuchanganywa sana, na mimi nikakosa cha kujibu na kubaki nimemwangalia kwa kupotea kifikira. Ni lazima ningekuwa nimekosea mlango wa chumba na kuingia kwenye hiki cha huyu mwanadada, na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments