Reader Settings

Amani Kilonzo ndilo lilikuwa jina lake la kuzaliwa, baba yake aliwahi kuwa mwanajeshi lakini alifia jeshini na hakuna jambo la maana ambalo walipewa na serikali, waliishi kana kwamba baba yao hakuwahi kuwa mtumishi wa serikali na hakuna jambo ambalo walikuwa wanaweza kulifanya. Mama yao alikufa muda mfupi baada ya kupokea taarifa za kufa kwa mumewe, mama huyo alikufa kwa presha na kufanya vijana hao wawili …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next