Reader Settings

“Upo ndani ya chumba kidogo kama hiki lakini bado unaonekana kuwa na jeuri kubwa’’

“Mpaka unafika hapa na kuja kuzungumza na mimi tena kwa ustaarabu kama hivi inamaana kwamba unanihitaji mimi. Nina uhakika kwamba haujajisumbua kuja hapa kujifanya unanijali ili kunikumbusha kuhusu miaka mitano ambayo imepita hivyo nataka kujua kwamba wewe ni nani na unataka nini kwangu?” mwanaume huyo alijikohoza na kumtaka mwanaume huyo aketi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next