Amani Kilonzo alianza kuwa hatari kwa baadhi ya watu wazito ambao walikuwa na majina makubwa serikalini hivyo yeye kuwa hai hakukuwa na usalama wa kutosha. wakati watu hao wanahangaika kuhitaji kuyajua hayo yote mwandishi huyo wa habari alielezea kwamba ni kwa muda mrefu serikali imekuwa ikiyaficha mambo maovu kama hayo kwa sababu ya kulindana wao kwa wao. Serikali haikuwa na muda na watu na hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments