"Umeletewa juisi hii dakika kumi na tano ambazo zimepita lakini haujaigusa kabisa, ulihisi kwamba naweza kukuua bwana Kilonzo?’’
‘Kwanini uwaze kuniua mheshimiwa?’’
‘Nimekwambia kabisa kwamba kwenye siasa mtu mmoja anaweza kufanya wote tukaonekana sawa ndiyo maana nakuuliza hivyo kwakuwa wengi mnaamini kwamba kila mwanasiasa ni mshenzi’’
‘Je ni kweli?’’
‘Hapana bwana Kilonzo, niamini mimi kuna watu hawapo hata kwenye siasa ila ni washenzi kuliko hata …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments