SAA MOJA BAADAE
MBWENI JKT
Moja ya maeneo mhimu kwa ukuaji wa jiji kubwa la Dar es salaam, ni sehemu ambayo wanaishi vigogo na watu wazito wenye mfuko mrefu kwenye akaunti zao za benki. Kwa wenye milo miwili na mmoja au ile mitatu ya kusua sua sio sehemu salama kabisa wao kuweza kuishi ndani ya eneo kama hilo ambalo maisha yake ni ghali sana.
Huko …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments