Reader Settings

Kumbuka wewe ni moja ya watu wenye mafanikio makubwa kwenye taifa hili hivyo kila mtu anakuangalia kwa umakini, kuna watu wanatamani ufanye kosa hata moja tu waweze kulitumia kukupoteza. Sasa kuna wanadamu huwa wanajenga visasi vya muda mrefu ambavyo huwa vinaishi miaka na miaka na kama hawawezi kukulipizia wewe basi mwanao ndiye ambaye atakuja kubeba msalaba wako. Kwahiyo badala ya kunilaumu hapa unatakiwa uangalie mzingira …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next