“Mkuu wa majeshi anatakiwa kufahamu kuhusu madawa ya kulevya?”
“Mhhhh Moses muda mwingine uwe unapata muda wa kuwafuatilia marafiki zako kidogo. Kagimu ni moja ya watu ambao wapo kwenye hii biashara kwa zaidi ya miaka kumi, unataka kuniambia kwamba haujui kuhusu hili?’’
‘‘Sikuwahi kutambua hili’’
‘‘Unatakiwa kuwajua wanadamu kwa ukubwa zaidi kwa sababu huo udhaifu wa kuwa na taarifa nusu nusu kuna siku utakuja kukugharimu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments