Reader Settings

‘‘Sorry, unataka kusema kwamba?’’

‘‘Kuna mtu ambaye tunahitaji wewe uweze kumuua’’

‘‘Bila shaka unanitania’’

‘‘Kuna siku mimi nimewahi kuja kukutania kwenye mambo kama haya ndugu yangu?’’

‘‘Kwa sababu unaongea habari ambazo hata nikiwaza ni kama hazileti maana’’

“Lakini hata haujauliza ni nani anatakiwa kufa?’’

‘‘Sioni sababu kwa sababu sijakuelewa’’

“Unamfahamu Aman Kilonzo?’’

‘‘Unataka mimi nihusike kumuua mwandishi wa habari wa Tanzania? Comon Moses, you are …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next