Ilikuwa ni asubuhi ya mapema kabisa ambapo raisi wa Tanzania alionekana kwenye vyombo vya habari raia wakiwa wamefura kwa hasira kila kona kwa sababu hawakuwa tayari kuvumilia kabisa jambo ambalo lilikuwa limefanyika na serikali haifanyi jambo lolote. Mauaji ya watu ishirini na sita ndani ya hifadhi ya Mikumi kwao ulikuwa ni uvunjifu mkubwa wa amani ya taifa lao hivyo kwa kila ambaye alihusika alitakiwa kukutana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments