Umbali wa hatua ishirini kutoka alipokuwepo yeye, alikuwa ameketi kijana mmoja mtanashati, kijana ambaye alionekana kuwa na mvuto ambao haukuwa unakera huku mwili wake ukiwa umetuna. Alionekana kabisa kwamba alikuwa ni moja ya wale vijana ambao walikuwa wakiitunza vizuri miili yao na mazoezi yalikuwa sehemu ya maisha yao. Aliitoa simu yake mfukoni na kuangalia picha kisha akamtazama kwa umakini yule mwanamke na kugundua kwamba alikuwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments