Reader Settings

Mapenzi ni msingi wa kila kitu, mapenzi ni msingi wa maisha, mapenzi ni msingi wa furaha lakini mapenzi ni sababu kubwa ya watu kuendelea kuishi na kujihisi wakamilifu wawapo duniani. Yale mapenzi ambayo yalimponza Adam, yale mapenzi ambayo yalimponza Samson, ni yale yale ambayo yalimponza Navy Sailor kumuua mpenzi wake na mwanafunzi ndiyo ambayo yaliingia kwenye ubongo wa Diana. Mwanamke mrembo alionja ile ladha halisi …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next