‘‘Shiiiiiiiiiiiiiiii mwanaume unatakiwa kuongea kistaarabu kama mtu ambaye una akili zako timamu. Kupigiana kelele sidhani kama ni ustaarabu ambao ulifundishwa Uganda’’
‘‘Umejua vipi kama mimi natokea Uganda?’’
‘‘Nahitaji uwapigie simu wale wenzako wanne waweze kufika hapa haraka muda huu kabla siku haijaisha hii’’
‘‘Hahaha hahahaa hahaah nadhani akili zako hazifanyi kazi….’’
‘‘Noooooo nooooo God’’ jeuri yake ilimpelekea sehemu mbaya kwa sababu aliishia kuweza kupiga makelele …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments