Reader Settings

DAR ES SALAAM

TABATA BARAKUDA.

Umbali wa mita miatano kutoka ilipo barabara kuu ya kutokea Mbezi kwenda Gongo la Mboto kulikuwa na jumba moja la kifahari, jumba ambalo lilikuwa limebeba eneo kubwa kwa sababu mwenye nalo alionekana kuwa vizuri kwenye mfuko wake.

Ndani ya hilo jumba la kifahari ndiko ambako Jarome alifikia na mpenzi wake mpya, Diana. Mwanamke ambaye alikubali kupoteza kila kitu kwenye …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next