Ilipita siku ya kwanza mpaka ikaisha, ilipita siku ya pili ndipo zikaibuka habari za kuuawa kwa mwandishi Jose Sangai. Alikuwa ni moja kati ya wale manguli wa tasnia ya habari Tanzania hivyo kifo chake kilizua taharuki kubwa watu wakiwa wanatamani kuweza kujua sababu hasa ya kuuawa kwake lakini kama kawaida jeshi la polisi liliahidi kwamba lingefanya uchunguzi wa kina kuhakikisha wahusika wa jambo hilo wanapatikana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments