Alisonya kwa hasira na kuonyesha kwamba alikerwa na jambo lile lakini wakati anaanza kulalamika na kutukana, yule boda alikuwa amefika kwenye mataa tayari kwa ajili ya kuendelea na safari yake hivyo alibaki anajisonya mwenyewe huku asijue alikuwa anamsonya nani. Mrembo yule alikuwa amechafuka kwa kile ambacho kilitokea pale hivyo hata alipo simama kwenye kituo kwa ajili ya kusubiri usafiri, ni wazi kwamba alikuwa akihangaika kuweza …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments