Reader Settings

Kilidondokea upande wa pili akabaki amejishika shingoni kwa sababu alipigwa kwa nguvu kwenye koromeo tena ilikuwa ni ghafala hata yeye hakutegemea kukutana na jambo kama lile. Mnyororo ule ulirushwa kwa kutumia nguvu kubwa za mikono yote miwili ukazunguka kwenye shingo ya yule bwana, ilivutwa na kwenye kuvunjiwa kwenye mgongo wa Sadiki ambapo aligeuka ili kumalizana na yule ambaye alikuwa amemtoboa na kisu tumboni lakini kabla …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next