Reader Settings

‘‘JONAS JEILO IS-01, huu ujumbe na hizi taarifa nina imani zitakufikia siku moja na utaona hii taarifa hata kama watauawa watu miamoja lakini wewe ndiye mtu pekee ambaye unaweza kuhakikisha kwamba kila kitu kinaisha na mambo yote yanarudi kama mwanzo’’ alishtuka mwandishi huyo baada ya kusikia hayo majina ikiwa ndo kwanza ameifungua video ambayo ilikuwa imeambatana na nyaraka kadhaa ndani ya ile flash.

Kushtuka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next