Ni kweli kwamba kulikuwa na uwepo wa genge hatari la madawa ya kulevya la D-CARTEL ambalo lilikuwa linazidi kujipanua katika ukanda huu wa afrika ya mashariki. Uwepo wa kundi hili ulifanya umoja wa mataifa ya Afrika ya Mashariki kuweza kuketi pamoja na kujua namna ya kuweza kuwadhibiti watu hawa na kulisambaratisha genge hilo lakini ukweli ni kwamba viongozi wetu hata hawajali kuhusu madawa ya kulevya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments