Sasa baada ya lile tukio nilielewa kwamba kukamatwa kwa Williard lazima alisema kuwa kuna mtu alimpatia taarifa za kuweza kuandika. Maana yake kama kulikuwa na jambo kama hilo basi ni lazima wataanza kumtafuta mtu huyo na huenda siku moja nikaja kuonekana mahali kama nitafanya aina yoyote ya kosa. Baada ya yale mambo kuweza kufanyika na zikaanza kuibuka zile tetesi za kwenye vitabu raisi aliamua kuwafunga …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments