Reader Settings

‘‘Sisi ni watu wa usalama hivyo naomba tuongozane kwa sababu kuna mahojiano ya muda mfupi tu tunayafanya na unaruhusiwa kumpatia taarifa wakili wako kama unahitaji kufanya hivyo’’ aliongea yule mwanaume ambaye alionekana kuwa mstaarabu. Bwana Rashid alimgeukia yule bwana ambaye alikuwa jeuri, alimwangalia kwa umakini kwa dakika nzima akiwa amemkazia uso wake mpaka wote wakawa wanashangaa kwamba ni kivipi raia wa kawaida tena ambaye alikuwa …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next