UTETE RUFIJI
Ni kilomita 218.6 kutoka lilipo jiji la Dar es salaam mpaka Utete kijiji ambacho kinapatikana wilayani Rufiji ndani ya mkoa wa Pwani. Ni moja ya vijiji ambavyo watu wake wanajihusisha sana na shughuli za kilimo pamoja na ufugaji kwa sababu ya uhakika wa upatikanaji wa maji kutoka ndani ya mto Rufiji ambao unaingia hadi ndani ya mkondo wa Bahari ya Hindi.
Kilomita tano …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments