Gabriel, moja kati ya majina ambayo kwenye ulimwengu ule wa siri wa wauaji lilikuwa linaogopwa mno, sio tu kwa sifa za mdomoni bali kwa mambo ambayo jina hilo lilitumika kuyafanya ndiyo ambayo yalilipa umaarufu kwenye huo upande ambao huwa unajulikana na watu wachache kwa sababu ni ulimwengu wa siri. Katika safari ya wanadamu wanakutana na mambo mengi, wanadamu wapo wa aina tofauti na wote huwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments