‘‘Lakini mbona mwanao ulipata namna ya kuweza kumfanya akawa huru mheshimiwa? Kwanini mimi mlikosa nafasi ya kuweza hata kunitoa nje ya nchi kuweza kuishi maisha ya kawaida?”
“Unatakiwa kuelewa kwamba huyo ambaye unamuongelea wewe ni mwanangu wa kumzaa, unamzungumzia mwanangu wa damu. Yaani unataka mimi niishi na wewe kama ambavyo naishi na mtoto wangu? Vipi kama tungeamua kukuua na tukaua familia yako? Ulipaswa kuwa na …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments