Reader Settings

Sadiki alikuwa akiishi kwa sura bandia eneo hilo hata Fatma na mama yake hawakuwahi kujua kama mtu huyo anatumia sura bandia na sura yake haikuwa ile, lengo lake kubwa lilikuwa ni ulinzi binafsi ili hata siku kama kuna mtu akija kumshtukia asije akatambulika kirahisi. Ni kweli mama yake Fatma naye lengo lake lilitimia kwa sababu mwanaume huyo alianza kuisaidia familia hiyo kwa kasi kubwa akafikia …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next