Mpaka pale nilikuwa nimefanikiwa kazi yangu kwa asilimia tisini na tano, asilimia nne zilikuwa ni za kujua yule mwanamke anatokea sehemu gani na asilimia moja ambayo inabaki ilikuwa ni mimi kukupata wewe ulipo na ndivyo nimeifanya kazi yangu kiwepesi kabisa. Baada ya kufanya upelelezi wangu jana usiku kwenye ile kumbi ya starehe nilifanikiwa kujua kwamba binti yule alikuwa anapatikana maeneo haya ila sikujua ni wapi …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments