Uvumilivu ulimshinda, alinyanyuka na kuhitaji kwenda kumuulizia yule binti ambaye kwa tafsiri rahisi ni kwamba alikuwa malaya ambaye anajiuza ndani ya lile eneo. Akiwa anaanza kusogeza hatua ya kwanza ndipo aliwaona wawili wale wakiwa wanarudi wakiwa na furaha, walionekana kuifaidi mno siku yao. Walisimama mrembo yule akemuweka vyema shati lake mwandishi yule kisha wakaagana kwa kukumbatiana na mwandishi hakuwa na muda wa kupoteza zaidi ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments