Sasa wakati ambao nitakuwa napambana naye nitasubiri akiwa amenipiga sana ndipo nitakitafuna kidonge ambacho kinaanza kufanya kazi baada ya sekunde tano tu. Baada ya huo muda hakuna sehemu ya mwili wangu ambayo itakuwa inafanya kazi tena mpaka baada ya masaa mawili kama sijapata msaada nakufa moja kwa moja na hapo ndipo unaingia wewe ambaye utakuwa na dawa ya kuweza kunitoa kwenye hiyo hali. Sasa wewe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments