Kwa mara ya kwanza nilipopewa simulizi ya maisha yako na Sadiki baada ya yeye kusaidiwa na yule mzee nilitambua kwamba huyu anaye zungumziwa sio binadamu wa kawaida. Ilinitisha kuona kwamba umehusika kwenye mauaji ya matajiri wakubwa miamoja duniani, ulifanikisha kufanya mambo yako kwenye mataifa makubwa duniani bila kukamatwa wala kuacha alama, hili linaweza kufanywa na watu wa kuhesabika kwenye dunia hii ya kishenzi na ndipo …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments