‘‘Kwa sisi wauaji tuna kanuni zetu ambazo kwa mwanadamu wa kawaida ni jambo gumu kuweza kuzifuata. Kanuni zetu za maisha zinaishi kwenye kanuni kubwa moja, kama mtu alikuja kwa ajili ya kukuua au akaonyesha dalili za kukuua basi kanuni ni moja tu, ni lazima yeye ndiye afe. Hili kosa wewe hautakiwi kulirudia kama yeye kalifanya, ukiona umekoswa au yeye kaonyesha dalili za kuweza kukuua mapema …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments