Reader Settings

‘‘Nisikilize vizuri Edwin, ni kweli kwamba naenda kukuua muda huu lakini maamuzi ya kwamba utakufaje unayo mwenyewe, unaweza ukaamua nikuue kawaida tu au ukaamua kufa kwa maumivu makali jambo ambalo sina uhakika kama unatamani tuweze kufika huko’’

‘‘Hakuna jambo ambalo nalijua kuhusu haya hivyo siwezi kukwambia mambo ambayo siyajui’’ Mwandishi hakuongea, alisimama na kutoka mpaka nje ambapo alimaliza dakika mbili ndipo akarudi, alikuwa ameshika shoka …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next