‘‘Mhhhhhh haya mambo ni mazito tofauti na nilivyokuwa nayafikiria mwanzo. Wewe ulifanikiwa vipi kujua haya yote ambayo inaonekana dunia imefichwa?’’
‘‘Ni kujua tu namna ya kuzipata taarifa sahihi. Kwa sasa kwenye ulimwengu huu watu wenye nguvu zaidi ni wale ambao wana uwezo wa kuzipata taarifa sahihi tena kwa uharaka maana ushindani ni mkubwa. Wengi wanakuwa wanajua lazima kuna taarifa fulani ila mtihani mgumu ni wanazipataje …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments