Reader Settings

“Unataka tufanye nini mkuu?’’

“Tafuteni kama kunaweza kuwa na kamera ambayo ilikuwa hai humu ndani tupate hata sura ya huyu mtu kama inawezekana’’

“Bosi kamera zote zilizimwa ila kuna moja tu ambayo ilikuwa upande wa vyooni ilikuwa hai ila kwa bahati mbaya imefanikiwa kuinasa picha ya mtu huyu akiwa ameipa mgongo hivyo hatuwezi kujua kwamba alikuwa ni nani’’ aliibeba ile tablet na kuiangalia kwa hasira …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next