‘‘Una uhakika na hizo taarifa?’’
‘‘Asilimia miamoja kwa sababu hata hivi tunavyo ongea kuna watu wapo nyumbani kwake kila siku wakifuatilia miendendo yake’’
‘‘Kwahiyo tunaweza kusema kwamba yeye hahusiki sio?’’
‘‘Kwa sasa ndiyo mkuu’’
‘‘Kaka utaenda kukutana naye wewe, nitaandaa sehemu ya nyie kuweza kukutania’’
‘‘Mimi mheshimiwa?’’
‘‘Yeah wewe hapo, mimi sihitaji kukutana naye kwa muda huu ila nitaenda kukutana na huyo mwandishi kisha wewe …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments