“Poleni sana kwa msiba lakini sijakuelewa kwamba ni kwanini unaweza kuniuliza swali kama hilo; mimi nawezaje kujua taarifa za afisa usalama ambaye kiuhalisia maisha yake ni ya siri?’’
“Ni kweli lakini kwa taarifa zilizopo ni kwamba huyu bwana alikuwa miongoni mwa watu ambao walikukamata na hamkuonekana kama mliishia sehemu nzuri’’
“Ni kawaida kwa kila binadamu hususani kwa mambo ambayo walinifanyia, walinikuta kanisani na kunibeba kwa …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments