Aliamini kwamba huenda ni yeye alikuwa na mawenge lakini haikuwa rahisi kuliamini jambo hilo kutokana na yeye mwenyewe alivyokuwa anajijua kwenye maisha yake. Aliangalia kwa umakini kila upande akiwa anahema kwani hakutaka mtu yeyote aje atambue jambo ambalo lilikuwa linaendelea au kudhania kwamba kuna mtu mwingine alikuwepo kwenye hilo eneo. Alijiridhisha kwamba hakukuwa na mtu hivyo akaanza kutembea lakini alizitupa hatua mbili tu kabla ya …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments