Maisha yake yalikuwa mtaani, ili kuweza kwenda sawa na mitaa alijikuta anaanza kujiunga na magenge ya kihalifu ambayo yalikuwa yanakaba, kuiba, kusambaza dawa za kulevya na kuua watu ili tu mkono uende kinywani. Kwa upande wake aliamini hakuwa na hatia yoyote kufanya vile kwani kama asingefanya basi lazima angekufa na sheria ya maisha inakutaka ufanya kila namna ili uishi kwanza, ishi kwanza kisha mengine yatajulikana …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments