Aliinuka na kugeuka nyuma, mguu ulikutana na uso wake ana kwa ana akawa haoni mbele. Lwanda alikuwa amewaibukia wale wanaume watatu, hakuwa na muda wa kupoteza kwa hao watu kwakuwa hayo waliyataka wao wenyewe. Alivuta bastola yake, alishindwa kuitumia kwakuwa mwanaume mmoja alimfikia na kumpiga na mguu kwenye mkono ambao ulikuwa na bastola ikadondokea umbali kadhaa kutoka pale ambapo alikuwepo. Alirudi nyuma hatua mbili tu …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments