Reader Settings

“We have a deal sir’’ alikubali, hakuwa mjinga kuikataa nafasi hiyo kwani alikuwa anajikatia ni tiketi ya kuweza kufa. Lwanda rasmi alikuwa anafanya kazi chini ya mkurugenzi wa usalama wa taifa huku akipewa nafasi kwamba kama angekuwa mwaminifu basi angepewa nafasi zaidi kwa kufanya kazi za mkataba na taasisi hiyo hivyo kwa baadae naye angekuja kuonekana kama sehemu ya watu hao. Walimuacha aondoke akiwa huru …

Imefungwa. Kuifungua tumia sarafu 1 tu.

Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.

Previoua Next