Mkono ulitua kwenye uso wake akavutwa kwa nguvu na kubamizwa kwenye goti akili zikawa kama zimemruka akadondokea chini, mguu ulifuatia kichwani mpaka kikapasuka, hakutikisika tena. Zilikuwa ni sekunde kama kumi tu kufanikiwa kumuua mwanaume wa aina hiyo mpaka wenzake wote walibaki wameganda kama wameduwaa wasiamini yale ambayo walikuwa wanayaona. Walijiandaa kumfuata ila hakuwapa hiyo nafasi, alitembea yeye mwenyewe kwa nguvu akapishana nao katikati ya wawili …
Tafadhari Ingia/Jisajili uweze kuendelea.
Comments